Wednesday, September 5, 2007

JJAMANI BENEDECTA MESSAGE ZAKO NI TAMUU..

JAMANI MESSAGE ZA MPENZI WANGU HAZIKUISHIA HAPO TU...
MIMI SIJAMBO ILA NASUMBULIWA KIDOGO NA MAFUA.MORO NITAPUMZIKA KIDOGO, USIWE NA SHAKA NIPO KWA AJILI YAKO MPENZI! WISHING YOU ALL THE BEST IN UR STUDIES.TAREHE.20.AUGUST.2007.
UELEWE NAKUPENDA KWA TABIA YAKO NJEMA, NAAMINI MUNGU ATATUPIGANIA TUYASHINDE MAPITO.TAREHE.17. JULY.2007.
MAUA NIKIKULETEA YATASINYAA.. PICHA NIKIKULETEA ITACHAKAA.. DUA NIKIKUOMBEA ITAKUFAA MUNGU AKUJALIE KILA LA KHERI KATIKA MASOMO YAKO. TAREHE 19. JULY.2007.
HEY DEAR THANKS 4 UR SMS ,BUT WHY DON'T YOU BELIEVE ME, LET GOD BLESSED HAVE GOODNIGHT. DATE.15.JULY.2007.
OKEY SWEET BUT KNEW THAT YOU STILL YOUNG, AND AM ADVANCED IN AGE.IF YOU WILL SUCCESS OK HAVE NICE JOB.DATE 17 JULY 2007.
NIMEKUPA NAFASI NDANI YA MOYO WANGU, NAKUPENDA MPENZI UWE KITULIZO CHA MOYO WANGU. TAREHE 17.JULY.2007.
NAKUPENDA MPENZI, ILA NIAMBIE MUDA AMBAO UKO FREE ,NAPENDA USOME KWA AMANI NA UTULIVU IL TUWE NA MAISHA BORA.TAREHE.27.JULY.2007.
DEAR KARIBU JIMBONI MBULU TUNAADHIMISHA JUBILEI YA MIAKA100 LEO.HABARI ZA ASUBUHI UMEAMKAJE? NAKUTAKIA MASOMO MEMA ROHO MTAKATIFU AKUONGOZE KUTENDA YALIYO MEMA.TAREHE15 AUGUST 2007.
HALLO DEAR HABARI ZA WEEKEND, NIMATUMAINI YANGU KUWA UMZIMA WA AFYA TELE. NIMEKUMISI SANA MPENZI NAKUTAKIA USINGIZI MWEMA BYEE...TAREHE.11.AUGUST.2007.
GOD GIVE ME PEACE AND LOVE.MAY GOD BLESS YOU WITH HIS LOVE THAT MAKES EVERYDAY JOY TO LIVE, HAVE GOODNIGHT DEAR..DATE 16.JULY.2007.

HEEE... MESSAGE BOMBA ZA MPENZI WANGU..

DEAR, NILIKUCHELEWESHA ,HAYO YOTE KWA SABABU YA UPENDO TU.MUNGU AKUBARIKI NA AKUONGOZE.HAVE NICE DREAM..TAREHE.8 AUGUST.2007.
CHEKI MESSAGE NYINGINE.
NAJUA UMEKWAZIKA KWA KIASI FULANI, FAHAMU KWAMBA MTANDAO UNASUMBUA NIMEKWENDA KIJIJINI KUWASALIMIA KINABABU UNAELEWA TENA KIJIJINI.TAREHE. 22.AUGUST 2007.
LEO NIMEANZA LIKIZO NIKO NJIANI NAELEKEA IFAKARA.KUHUSU JANA USIKU MUULIZE SIR YEYOTE, KAMA NILIKUWEPO AU LAA,USOME KWA AMANI.TAREHE07.AUGUST.2007
HALLO MPENZI! NAHISI HUNIAMINI , SIMU ILIKUWEPO KWENYE BEGI ASUBUHI NILIONA MISSED CALL , LABDA ILISHIKA KWA BAHATI ,SIELEWI. TAREHE 07.AUGUST.2007.
JOACHIM USIONE NI KIMYA UNAJUA NASHINDWA HATA KUKUJIBU , KWANI UNAWIVU KUPINDUKIA KWA HALI HIYO TUTAFIKA MBALI KWELI? MUNGU ATUPIGANIE KATIKA YOTE.TAREHE.27.AUGUST.2007.
HALLO NASHUKURU KWA UPENDO UNAOZIDI KUONESHA KWANGU, SMS ZAKO NIMEZIPATA NILIPOFIKA KAZINI MUNGU AKUZIDISHIE BARAKA TELE. TAREHE.24 JULY.2007.
HABARI ZA MASOMO DEAR ! NIMATUMAINI YANGU KUWA U MZIMA WA AFYA TELE.MIMI SIJAMBO NINAENDELEA NAMAANDALIZI, NAKUTAKIA KILA LA HERI. TAREHE. 04 SEPTEMBER.2007.
LAWAY AKO A SAITAA A SAYUT, MAANA YAKE HABARI MZEE HUJAMBO.JIONI NJEMA KILA LAKHERI.TAREHE 1O. AUGUST.2007.
HABARI ZA MASOMO, MBONA KIMYA? PINDI UNANIPIGIA NILIKUWA KWENYE GARI NAELEKEA MALINYI KESHO TUNA SEMINA .HAVE NICE STUDIES BE BLESSED.TAREHE.03 AUGUST.2007.
DEAR WISHING YOU ALL THE BEST, WITH A LOT OF SUCCESS BE BLESSED.DATE.22 JULY 2007.
NAKUTAKIA SAFARI NJEMA, USAFIRI SALAMA.TAREHE .07.AUGUST.2007.
NAKUSALIMIA TU MPENZI, NIMEKUKUMBUKA NIMEFURAHI KUSIKIA SAUTI YAKO.WISHING ALLTHE BEST IN YOUR STUDIES BE BLESSED.TAREHE.28 JULY.2007.

Wednesday, August 29, 2007

BENEDECTA NI CHACHU WA MOYO WANGU...

Waswahili walonga hivi ukitaka kujua nguvu za mlevi basi ...ee bwana ee mwaga pombe yake, usemi huu ni sambamba na kwa wapendanao hao katika ulimwengu wao wa MALOVE.Wote wana mapendo ya dhati na wanaaminiana sana kutunza promise zao, Suala la wivu lipo kwa kila mmoja, hata Adam alikuwa na wivu kwa mkewe katika bustani waliyowekwa na Mwenyezi MUNGU.
MUNGU MBARIKI BENEDECTA .....
JOACHIM AND BENEDECTA FOREVER AND EVER....

Saturday, August 25, 2007

HII..NI NOMAAAA.. AU HERIII..NIMEPATA MPENZII..

Ni siku ya furaha na shangwe kwa kijana macheche si mwingine ni Joachim ambaye ameibua kimwana wa kimbulu aka Mwiraki Benedecta , ambaye amezimika katika ulimwengu wa malove .Kwa neema ya Mungu na kwa mapendo ya dhati, Benedecta ni msichana mrembo mwenye tabia nzuri, windo la kuvutia, mwenye kuelewa mambo na mtu ambaye asiyependa mambo ya kudharau mtu tofauti na kabila lao.
Katika makutano yetu ni kwa neema ya Mungu sasa tumekuwa wamoja na tumewekeana promise za kuwa pamoja hapo baadaye na kujenga familia yenye upendo ya Mungu.
Eee Mungu naombba ubariki matarajio yetu ili zile ndoto zitimie katika mapenzi yako.

Wednesday, August 15, 2007

MAISHA YA JOACHIM TANGU KUZALIWA.

Joachim alizaliwa tarehe 03.april.1982 , alianza shule ya msingi mwaka 1992 , katika shule ya msingi Isongo iliyopo Ulanga mkoani Morogoro, Katika famila yake yeye ni mtoto wa pili kuzaliwa katika famila ya mama ngogo, lakini ni mtoto wa kwanza wa kiume kuzaliwa, ambaye ,katika mila na desturi za wapogoro ;nilibatizwa kwa jina la lihoka yaani laika, ni kitu cha ajabu kuzaliwa mtoto wa kiume.
Dada yangu wa kwanza uzaliwa ni Emericiana , wa pili ni Magreth,katika mama tofauti.Na katika familia moja ya mama NGOGO.

JE WAMJUA JOACHIM MENANS MAZYETTA?

Huyu si mwingine ni yule ambaye anayeogopwa sana na wengi ila si tabia yake , mbaya bali kwa ucheshi aliokuwa nao, hasa kwa kuwachora watu vikatuni na vibonzo mbalimbali, Joachim ni mtu mmoja mwenye utani wa hali ya juu, asiyependa makuu, wala majivuno ,katika kazi zake za Usanii.

Katika maisha yake , amekumbana na mfumo wa maisha mengi.Joachim alizaliwa katika kijiji cha Sofi wilayani Ulanga , mkoanni Morogoro ,Tanzania.Amezaliwa mnamo tarehe 03.April. 1982 saa mbili usiku siku ya jumamosi.Baba yake ni Menans Joachim Mazyetta,na Mama yake ni Fransiska Frans Ngogo, Maisha ya wazazi wangu wote ni walimu , ila kwa mapenzi ya mwenyezi Mungu baba yangu alifariki mnamo tarehe 03.04.2005, katika hospitali ya wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro alikuwa AKISUMBULIWA NA MARADHI YA TB, MUNGU AILAZE MAHALA PEMA ROHO YAKE PEPONI AMINA.