Ni siku ya furaha na shangwe kwa kijana macheche si mwingine ni Joachim ambaye ameibua kimwana wa kimbulu aka Mwiraki Benedecta , ambaye amezimika katika ulimwengu wa malove .Kwa neema ya Mungu na kwa mapendo ya dhati, Benedecta ni msichana mrembo mwenye tabia nzuri, windo la kuvutia, mwenye kuelewa mambo na mtu ambaye asiyependa mambo ya kudharau mtu tofauti na kabila lao.
Katika makutano yetu ni kwa neema ya Mungu sasa tumekuwa wamoja na tumewekeana promise za kuwa pamoja hapo baadaye na kujenga familia yenye upendo ya Mungu.
Eee Mungu naombba ubariki matarajio yetu ili zile ndoto zitimie katika mapenzi yako.
Saturday, August 25, 2007
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment