Wednesday, August 15, 2007

MAISHA YA JOACHIM TANGU KUZALIWA.

Joachim alizaliwa tarehe 03.april.1982 , alianza shule ya msingi mwaka 1992 , katika shule ya msingi Isongo iliyopo Ulanga mkoani Morogoro, Katika famila yake yeye ni mtoto wa pili kuzaliwa katika famila ya mama ngogo, lakini ni mtoto wa kwanza wa kiume kuzaliwa, ambaye ,katika mila na desturi za wapogoro ;nilibatizwa kwa jina la lihoka yaani laika, ni kitu cha ajabu kuzaliwa mtoto wa kiume.
Dada yangu wa kwanza uzaliwa ni Emericiana , wa pili ni Magreth,katika mama tofauti.Na katika familia moja ya mama NGOGO.

No comments: