Waswahili walonga hivi ukitaka kujua nguvu za mlevi basi ...ee bwana ee mwaga pombe yake, usemi huu ni sambamba na kwa wapendanao hao katika ulimwengu wao wa MALOVE.Wote wana mapendo ya dhati na wanaaminiana sana kutunza promise zao, Suala la wivu lipo kwa kila mmoja, hata Adam alikuwa na wivu kwa mkewe katika bustani waliyowekwa na Mwenyezi MUNGU.
MUNGU MBARIKI BENEDECTA .....
JOACHIM AND BENEDECTA FOREVER AND EVER....
Wednesday, August 29, 2007
Saturday, August 25, 2007
HII..NI NOMAAAA.. AU HERIII..NIMEPATA MPENZII..
Ni siku ya furaha na shangwe kwa kijana macheche si mwingine ni Joachim ambaye ameibua kimwana wa kimbulu aka Mwiraki Benedecta , ambaye amezimika katika ulimwengu wa malove .Kwa neema ya Mungu na kwa mapendo ya dhati, Benedecta ni msichana mrembo mwenye tabia nzuri, windo la kuvutia, mwenye kuelewa mambo na mtu ambaye asiyependa mambo ya kudharau mtu tofauti na kabila lao.
Katika makutano yetu ni kwa neema ya Mungu sasa tumekuwa wamoja na tumewekeana promise za kuwa pamoja hapo baadaye na kujenga familia yenye upendo ya Mungu.
Eee Mungu naombba ubariki matarajio yetu ili zile ndoto zitimie katika mapenzi yako.

Wednesday, August 15, 2007
MAISHA YA JOACHIM TANGU KUZALIWA.
Joachim alizaliwa tarehe 03.april.1982 , alianza shule ya msingi mwaka 1992 , katika shule ya msingi Isongo iliyopo Ulanga mkoani Morogoro, Katika famila yake yeye ni mtoto wa pili kuzaliwa katika famila ya mama ngogo, lakini ni mtoto wa kwanza wa kiume kuzaliwa, ambaye ,katika mila na desturi za wapogoro ;nilibatizwa kwa jina la lihoka yaani laika, ni kitu cha ajabu kuzaliwa mtoto wa kiume.
Dada yangu wa kwanza uzaliwa ni Emericiana , wa pili ni Magreth,katika mama tofauti.Na katika familia moja ya mama NGOGO.
Dada yangu wa kwanza uzaliwa ni Emericiana , wa pili ni Magreth,katika mama tofauti.Na katika familia moja ya mama NGOGO.
JE WAMJUA JOACHIM MENANS MAZYETTA?
Huyu si mwingine ni yule ambaye anayeogopwa sana na wengi ila si tabia yake , mbaya bali kwa ucheshi aliokuwa nao, hasa kwa kuwachora watu vikatuni na vibonzo mbalimbali, Joachim ni mtu mmoja mwenye utani wa hali ya juu, asiyependa makuu, wala majivuno ,katika kazi zake za Usanii.
Katika maisha yake , amekumbana na mfumo wa maisha mengi.Joachim alizaliwa katika kijiji cha Sofi wilayani Ulanga , mkoanni Morogoro ,Tanzania.Amezaliwa mnamo tarehe 03.April. 1982 saa mbili usiku siku ya jumamosi.Baba yake ni Menans Joachim Mazyetta,na Mama yake ni Fransiska Frans Ngogo, Maisha ya wazazi wangu wote ni walimu , ila kwa mapenzi ya mwenyezi Mungu baba yangu alifariki mnamo tarehe 03.04.2005, katika hospitali ya wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro alikuwa AKISUMBULIWA NA MARADHI YA TB, MUNGU AILAZE MAHALA PEMA ROHO YAKE PEPONI AMINA.

Subscribe to:
Posts (Atom)